Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mimi nimegundua tabia flani ya wanawake ambayo haijengi inabomoa maisha kwa ujumla. Yaani mwanamke leo hii unampa hela mfano laki 5 labda ya kumlipia ada mdogo wake au baba yake anaumwa.
Kesho anataka pesa nyingine tena sijui ya kufanya nini. Mwingine unamtunulia gari leo kesho anataka anataka hela ya Mtaji wa biashara.
Duh! Yaani anakufanya kama wewe hizo hela zako hazina kazi nyingine ni kutafunwa tu. Haya kuna mwingine kila siku unampa mtaji anakula ukija juu azingua kweli unaonekana mbaya.
Dunia Gunia