shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 671
- 1,426
Kuna mtu nilijiapiza kutofanya nae chochote, awali sikuvutiwa na sura yake kabisa, tukapingwa kufanya nae kazi sehemu moja, kila muda tuko nae, ilifika muda akaniomba urafiki kwa sms but, sikumjibu, hakukataa tamaa kabisa, nilikuwa namuoneshea kila aina ya vituko ikiwepo kusifia rafiki zake lakini wapi, kuomba no za rafiki zake, lakini bado.
Baada ya miezi sita amefanikiwa kwani alifanya kila alijualo Siku ya sikukuu mwaka mpya tukala tunda, of course alijitahidi sana japo bado sina hisia nae. Nauliza kuna wanaume huwa wanaktaa game wakipewa.
Wanafanyeje ili mwanamke asijisikie vibaya?