Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Malyakishu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,353
Habari zenu wanawake,

Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.

Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungempasulia na chupa za vinywaji kabisaaa ...

She..nz..iiiii
 
Habari zenu wanawake,

Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.

Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
pesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/
 
Kwani pesa kazi yake si matumizi?

Mpe pesaa mpenzio

Hasara roho
 
mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umewachoka kweli
 
Back
Top Bottom