Natafuta mchumba

ndusyepo

Senior Member
Jul 2, 2013
166
195
Habarini zenu wana JF,

Kwa jina naitwa Langston, nimejitokeza hapa kwa lengo moja tu kubwa la kutafuta ubavu wangu, mi ni mwajiriwa naishi Dar maeneo ya Tabata, umri wangu ni 24 ni mweusi na mrefu na elimu yangu ni diploma.

Sifa kuu ya binti uwe unajua kupenda na uwe mkweli pia uwe unajishughulisha yaani uwe mtafutaji pia uwe mkazi wa Dar es Salaam, dini yeyote.

Kwa uliyetayari please njoo PM .

NB: NIKO SERIOUS SANA PLEASE HUTANI SITAKI.
 

havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,588
2,000
Ndio kusema mitaani,shuleni au kazini huko umekosa? Sikukatishi tamaa maana kunawatu huku wanakuja kututhibitishia kwamba wameoana,watakupm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
assenga Jr Natafuta mchumba wa kike Love Connect 2
M Natafuta mchumba Love Connect 6
B Natafuta mchumba wa kiume Love Connect 67
Amjadey Natafuta mchumba Muislamu Love Connect 4
Nick J Vuitton Natafuta mchumba baadaye awe mke Love Connect 2

Similar threads

Top Bottom