Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! Unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita.

Saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati, miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3, kababu 2 na soseji mbili, inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

Saa nne miss twende bana tukanywe supu, huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

Mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu unaenda na wageni inabidi tena ule utakataaje kula na wageni si utaonekana unaloga? Napo hakuna jinsi wala namna.

Jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu, njoo tule hapa bana wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

Sijui nifanyeje tena!
 
unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita
saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati ,miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3,kababu 2 na soseji mbili.inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

saa nne miss twende bna tukanywe supu huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake .inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu .unaenda na wageni inabidi tena ule utakataeje kula na wageni si utaonekana unaloga? napo hakuna jinsi wala namna

jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu njoo tule hapa bna wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

sijui nifanyeje tena
Wanaopata treatment hii humu please like my comment nitawapa zawadi.
 
Back
Top Bottom