Njia katili ya kumwacha mchepuko msumbufu

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau nitajieni njia kadhaa mbaya katili za kumwacha demu wako ambae anakung'ang'ania yani zitakazomfanya asiwe na hamu tena na wewe
 
Hivi unaweza kuumiza kichwa jinsi ya kuacha mchepuko, ile ni perishable business ambayo wote wawil mnapaswa kuelewa hilo.
 
Hivi unaweza kuumiza kichwa jinsi ya kuacha mchepuko, ile ni perishable business ambayo wote wawil mnapaswa kuelewa hilo.
Someone naona kaandika kabisa niliyataka kuandika hapa. Mchepuko is not permanent, you can part ways anytime ,any day.
 
Hapo inategemea na ww ulimwambiaje wakati mnaanzana. Huenda ulivyomwambia ndio inakuwa sbb ya kukuganda.
Fanya kumpotezea, usipokee calls zake wala kujibu sms badae atajiongeza mwenyewe.
 
wengi tunahisi kumfanyia ukatili mpenzi anayekuganda kuwa ndo habari ya mjini... ila sasa akifanikiwa kukuacha tambua utamkumbuka kuliko... na kumrudisha upendo wake wa zamani itakuwa ndoto tena!!! tafakari mkuu kabla hujaamua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom