novavilla8
Member
- Jul 27, 2016
- 24
- 13
Heri ya mwaka mpya ndg zangu.!Mimi naitaji rafiki au marafiki wa kushare ideas tofauti za kimaisha.for nina elimu ya chuo kikuu na pia ni muajiriwa ktk taasisi ya kifedha (bank).napenda kuwa na marafiki wa jinsia zote mbili mwanaume na mwanamke tubadilishane mawazo na kuelimishana pia.if u don't mind njoo pm hapo tutapeana phone number nk.