Bado nawatetea wanawake kwa haya mawili

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,409
39,478
Heri ya mwaka mpya wakuu

Hivi ni kwanini wanaume wengi tunaaminishana kuwa:-

◆ 1) Hakuna mwanamke bikra kabisa miaka hii, eti wengine wanadiriki kusema wanazaliwa bila bikra. Daaah!

~ Inamaana hakuna mabinti wacha Mungu wanaojiheshimu na kujitunza mpaka wafunge ndoa?

Na pia wakikutwa na bikra zao original zitaitwa tu feki za Mchina


◆ 2) Single moms ni wanawake waliotumbuliwa na wasiofaa katik jamii.

~ Inamaana hakuna waliopenda na kuamua kuwa na hiyo lifestyle ya kuishi single ingawa kuna wanaume waoaji? Mbona kuna lawama nyingi kwa hawa wanawake?

Je wangekuwa hawashiki mimba kabisa au wanatoa hizi mimba zetu?

◆ Tuwajadili ila tukumbuke pia kuwaheshimu hivi viumbe vidhaifu zaidi ya kuwadiss tu continously.

Nawasilisha.
 
1) bikra zipo mkuu, binafsi mwaka mpya nimekutana nayo tena mdada wa mwaka wa pili chuo, japokua the sex sucks, yaani Hamna la maana zaidi ya kuachiwa mialama ya kucha mgongoni,na kukimbizana kitandani kama majogoo


2) single mom tunawaheshimu na tunawapenda mbona, Ujinga ni pale anapozidi kuwasiliana na kidume kilichomzalisha,hapa lazima asome namba za Kirumi
 
kwa tafiti za haraka haraka wewe umezaliwa katika hao.

nimependa sana uzi wako. congrats kwa kuweza kupoza machungu ya single moms
 
Back
Top Bottom