TOWO wanapatikana wapi

Status
Not open for further replies.

Mgweno Hamisi

Member
Sep 1, 2016
57
42
Kuna rafiki yangu anaishi iringa alizaliwa bila kumjua baba yake, ila baada ya yeye kua mkubwa mama yake aka mwambia baba yake anaitwa Filbert Nathaniel TOWO.
Sasa ombi lake anaomba kujua kua TOWO ni watu wa mkoa gani na je TOWO ni ukoo au ni jina?
Naombeni msaada wenu wanajamii.
 
Wanapatikana mwika kilimanjaro
 
Kuna rafiki yangu anaishi iringa alizaliwa bila kumjua baba yake, ila baada ya yeye kua mkubwa mama yake aka mwambia baba yake anaitwa Filbert Nathaniel TOWO.
Sasa ombi lake anaomba kujua kua TOWO ni watu wa mkoa gani na je TOWO ni ukoo au ni jina?
Naombeni msaada wenu wanajamii.
Mkuu towo ni ukoo na kuhusu kabila ni mchaga wa mkoa wakilimanjaro!kijiji cha marangu mamba na mwika!!hizi koo zimetawala sana maeneo hayo nilokutajia!!
 
TOWO

Mchagga
Marangu - Mamba/ Mwika
Marangu - Samanga

Huenda hata Mawalla ikakusaidia kumjua
 
Nashukuruni sana wanandugu kwa msaada wenu maana huyuni rafiki yangu wa karibu ila anaumia kutomjua baba yake wala ndugu zake wa ukoo ,na yeye ni mwenyeji wa mbulu kwani mama yake ni mmbulu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom