Familia yao wote wana kazi ila kila siku ananiomba hela

Mr. Verossa

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
571
288
Mwanamke kiumbe wa ajabu sana. Katika familia yao Baba dokta, Mama mwalimu wa msingi, kaka yake mhasibu benki na yeye mwalimu wa sekondari. Sasa namshangaa huyu dada kila siku anataka hela za matumizi ananiambia mshahara haumtoshi wakati mie kanizidi.

Hivi hapa kuna mwanamke kweli?
 
Hajitambui ,nimuigizaji ,hajiongezi na inawezekana ni mchunaji hana future na wewe.kwa nn na wewe usimweleze wazi kuhusu hilo ujue mbivu au mbichi ? Ukiwa muwazi na kukisimamia unachoamini kiko sawa ni Raha sana kufakefake na kuficha fikra zako mwishowe kila kitu huwa wazi
 
mkuu Kwani nawe unafanya kazi gani?, wala usiseme wala kujitetea eti kakuzidi kumbe una vitega uchumi vingi mtaani

√√ muhudumie mkeo mkuu wasijetokea wanaoweza kuhudumia wakaja kutumia hiyo fursa

√√kawasome tena wanawake tabia zao
 
huyu mwanamke sijawai kuona mkuu hadi nafikiria amerogwa ama
 
mkuu Kwani nawe unafanya kazi gani?, wala usiseme wala kujitetea eti kakuzidi kumbe una vitega uchumi vingi mtaani

√√ muhudumie mkeo mkuu wasijetokea wanaoweza kuhudumia wakaja kutumia hiyo fursa

√√kawasome tena wanawake tabia zao
sasa nimuhudumie nini wakati kila kitu anacho
 
Inawezekana ule msemo wa kuwa hata kama home unakula ubwa ubwa kila siku Ila ubwa ubwa wa kwenye shughuli una utamu wake, (wewe ni ubwaubwa wa shughuli)
 
Back
Top Bottom