Ondoa vipingamizi vya kufikia malengo

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Anza kusema HAPANA kwa vitu ambavyo vinakuzuia kufikia malengo na ndoto zako za maisha.

Matendo yanayokupotezea muda wako, marafiki wabaya, watu ambao maisha yao yanaweza kukupeleka pabaya, stress, hofu, matendo yanayomchukiza Muumba na nafsi yako.

Tena unachopaswa kutenda, ishi unavyopaswa kuishi na tafakari kiusahihi kila wakati.

Kama unapaswa kulipa deni, na kuna mazingira yanayokuzuia kutunza kipato chako kwa matumizi mabaya, acha.

Kama unapenda...
 
True. Wanawake acheni kusikiliza maneno ya wakaka wa humu,kuweni huru kwa kile mkipendacho,KUWA SINGLE MAMA,MKE BORA,MCHEPUKO BORA,VYOVYOTE. LIFE IS FULL OF CHOICE'S ENJOY.
 
Back
Top Bottom