mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 813
Kuna mapenzi ya mwanamke na mwanaume,ata mwanamke akipigwa kiasi cha kufa mkimuliza atasema nampenda Mme wangu kwanza uwa anipigagi
Mapenzi ya klabu za simba na yanga,niweke wazi mm ni mapenzi wa yanga toka kitambo kwa mlokuja dar ivi karibuni ni kabla kajima hawajajenga kambi yao pale jangwani timu yangu uitukani nikiwepo at a tufungwe magoli mengi kuna sababu ntakupa
Kuna mapenzi ya vyama uku ndo balaa MTU akifanya ujinga apigiwa makofi na kushangiliwa kwetu yanga afadhali atuogopi watani wetu tunakukosoa na bakora zinatembea,kwenye vyama mnajua kakosea mnakenua meno at a kama na ninyi mnaumia badilikeni