STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION
MAKING IN CRITICAL ISSUES.
Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la
Kutupwa, analala mtaroni kila siku, anafikishwa
nyumbani hajitambui kafikaje, yeye yupo tu amekazana na Fanta yake..Unachumbiwa na
kuolewa na hilihili levi,unasota nalo miaka 2 ya
ndoa inakuwa kero...Ulimvumilia kwenye Uchumba
coz hamkuwa mnalala pamoja, analewa na
kutapika akiwa kwake na wewe uko kwenu..Sasa
Mzigo ni wako, mko SAME BED..Anatapika hapo..Harudi home siku 4..Na hata akirudi yuko
Njwii, hata 'kazi hawezi kupiga'
Unaenda kulalamika kwa Mchungaji kuhusu Tabia
mbaya ya mmeo...YOU KNEW IT..Ukapuuzia na
ukakubali kuolewa na JANGA... Mtabaki kusumbua
Wachungaji na Wakwe kuwapatanisha wakati mlikuwa na Muda wa kujuana kabla hamjaamua
kuishi pamoja
Kipindi cha Uchumba kitumie KUMFAHAMU
VIZURI.. Sio ukitumie KUMCHUNA, KULA BATA, OFA ZA
KITIMOTO, TRIP ZA BAGAMOYO, KUMPIGA MIZINGA YA
PERUVIAN HAIR..Ukasahau KEY ISSUES... Mmekaa miaka 6 ana watoto 2 na Wanawake
wengine.. Analewa na kulala mtaroni..Halafu
analeta Posa unasema kuolewa ni Bahati.
Yakikushinda Usitusumbue...Sio kila POSA ni
bahati, Posa nyingine ni kichaka tu cha kutua
majanga yao...Your Decision TODAY will affect your TOMORROW...Think twice before you say YES to a
Problem.