shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 671
- 1,426
Mke wangu wa ndoa ana mimba pili ni miezi minne kwa sasa, ananiambia vitu ambavyo mimba ya kwanza havikuwepo hata kidogo, mosi anasema siyo kusema tu anaonesha wazi wazi kuwa ananichukia vibaya mno.
Eti natoa harufu mbaya, nimejitahidi kuoga hadi Mara tatu kwa Siku na kujipulizia perfume lakini wapi? In short hataki nimguse nikitaka game akinipa Siku hiyo atafyonya na kutema mate Siku nzima,
Game yenyewe anakuwa amejilaza tu hamna anachofanya, ameniambia nimsubiri mpaka ajifungue, tumuombe Mungu labda atarudisha hisia kwangu, nilijaribu kuumuliza kama amepoteza hisia ni kwangu tu au na wanaume wengine, hakujibu na aliishia kutoa machozi tu.
Wapendwa niko njiapanda kazi yangu requires maximum attention and focus coz it involves receiving money, naona kwa sababu ya haya matatizo umakini unapungua kwa kazi kiasi najikuta naomba no za wateja wa kike, something ambacho sijawahi fikiri wala kufanya.
Je, kuna mwanaume amewahi kupitia uzoefu kama kwangu, ni mengi nimeyapitia ila siwezi kuandika yote.
Thanks