Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
2 Reactions
216 Replies
23K Views
Wana jukwaa amani kwenu, Kama mada isemavyo ninapenda kujua kutoka kwa jinsia zote ni kwanini wadada wengi hawapendi kuulizwa au kusema umri wao.Tabia ya kutotaja umri ni kwa wanawake wengi wa...
1 Reactions
125 Replies
12K Views
Za leo wapendwa Jamani matatizo mengi katika mapenzi yanatokana na siri za ndani kuvuja, na hili mara nyingi linasababishwa na jinsia ya kike ingawa kuna jinsia ya kiume ambao nao hawana siri...
26 Reactions
124 Replies
10K Views
Mina hasira za karibu sana ninakasirika mara kwa mara, naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia.
1 Reactions
78 Replies
9K Views
Ni kweli kabisa! Sitanii, hawa wasichana hawajitambui mpaka wawe na watoto kuanzia wawili au zaidi bila hivyo utavamia waliokwisha toa mimba ziadi ya tano, mimi nimeamua kujisalimisha kwa single...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Habari za leo wapendwa Huyu shosti ni tangia ile shule ya boda, lakini tangu shule alikuwa anatukondesha mbaya, shost huyu alikuwa mbabe, dining alikuwa anachota top layer ile yenye mafuta yote...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu week end hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti. Kumbe wanaenda kunywa supu...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu...
0 Reactions
29 Replies
21K Views
Wakati mwingine mapenzi yanaumiza sana. Haswa unapopata mtu ambae sio sahihi kwako. Ambae amekutumia na alichopata alichokua anakitaka kutoka kwako sasa kakipata amekitumia had amekinai au...
14 Reactions
122 Replies
18K Views
Habari wapenda wale mnaopenda kufuatilia mafundisho ya mwalimu Mwakasege unaweza kutune Upendo Radio FM 107.7 fm dsm au online kwenye tunein. Na wale mnaotaka mafundisho yake mbali mbali ninaye...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Za jioni wakuu, Ninahitaji ushauri wenu awdau, na nitaanza na historia kidogo. Kuna rafiki yangu mmoja tuemshibana sana, ni rafiki yangu wa kufa na kuzikana, mi na yeye ni zaidi ya rafiki na...
1 Reactions
100 Replies
13K Views
Hivi ni kwanini wanawake wa maumbo ya hivi wanazidi kuongezeka karne ya sasa? Mbona wanawake wa zamani hawakuwa hivi? Kwa baadhi ya makabila ambayo wanamaintain mila za kizamani ni vigumu sana...
4 Reactions
118 Replies
51K Views
Kuna demu nlkutana nae mahala tulienda kumpa hai shem wangu yaani dem wa mchiz wangu aliekua na rafk ye n mrembo tu wa ukweli, ikabdi yule rafik ake na shem anpe nmb ya simu nami skuona hiyana...
4 Reactions
145 Replies
10K Views
Wana jf wenzangu kuna kitu huwakinanifanya nakosa ujasili na kuhisikia vibaya sana ninapoona mwanaume unapiga magoti kwa mwanamke. Kuna nyanja nyingi ambazo nimeshuhudia vitendo kama hivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina mke na watoto watatu lakini mke wangu amekua akirudi kwao mara nyingi sana na mama yake humpokea na kuanza kuishi nae bila hata kuniuliza mimi na wakati huo huo huyu mama yake nae kaachika...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
1. Kupenda kuzaa na kutuunza uhai 2. Uvumilivu wa malezi 3. Upole na amani 4. Kuona shida mapema 5. Kutuliza na kufariji 6. Kutamani kupendwa kwa namna ya pekee 7. Bingwa wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mke atakaekubaliana na hali yangu nina shida ya nguvu za kiume na uume mdogo, umri wangu miaka 48. Mwenye kujali tuwasiliane kwa email hii mbilimbi4@gmail.com au PM
1 Reactions
2 Replies
1K Views
NDOTO ILIYOZIMWA GHAFLA Kulikuwa na familia moja maskini sana. Ilikuwa familia ndogo ya baba, mama na binti yao wa pekee . Baba ndiye alikuwa mtu pekee mwenye kipato[emoji389], hata hivyo kipato...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama mume una mke, hakikisha ukiwanunulia wazazi wako chochote hakikisha na wazazi wa mkeo unawanunulia, hivyo hvyo kwa wanawake hasa ambao mnafanya kazi, ukimnunulia baba au mama yako gari nunua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…