Sababu ya mahusiano ya kimapenzi ni nini?

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Kuna swali lina nitatiza je kinachotufanya tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi? ni kugegedana au kuna la ziada?
 
Soma kitabu cha mwanzo cha biblia:

Gen 1: 28

Genesis: 1. 28. And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth. -


"Eneendeni mkaijaze dunia"
 
Kugegeda Tu
Amini Nawaambieni
Hakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapokea Hata Laki
Moja
 
Back
Top Bottom