Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Habari za jumapili
Nikiwa hapa Tanzania (kama watoto wa mjini unavopaita) nilibahatika siku moja kumtembelea rafiki yangu mmoja tuliosoma wote chuo.
Kufika tu japo nilikaa kama saa 4 nilijua tu hali sio shwari. Japokuwa nilikuwa sitaki kujua kuna shida gani ilinibidi muda wa kuondoka niondoke. Nikiwa njiani kurudi kwangu ndipo nilipomuuliza rafiki yangu kulikoni. Aliponiambia kwamba, "huyu mke wangu sikujua kuwa alikuwa hana meno mawili ya mbele, kumbe ana ya bandia sasa wiki mbili zilizopita ndo nilimuona maana nilikuta meno ya bandia yamewekwa kwenye kopo la maji kuna kumwangalia mdomoni nakutana na ukibogoyo". Nilicheka kimoyo moyo sana mpaka kwenye gari walinijua nilikuwa na furaha.
my take: wadada embu muweni serious, jamaa angu kisa ukibogoyo ndoa yake changa ishaanza misukosuko. embu msifiche vitu vingine eti kisa ndoa MTAKIMBIWA... shauri zenu