Kwani we tayari umeolewa.!!??huu uzi angeuleta mwanamke stori ingekua tofauti... hakuna mwanaume angemshauri talaka wala kutafuta mwanaume mwingine ila wangesema " hayo maisha ya ndani mbona unaleta mtandaoni... mwanamke unatakiwa kuvumilia" chaaaa!!
Kwani we tayari umeolewa.!!??
Mpe talaka au muongezee mwingine
Mmmhhh! Hamna hata huruma. Kumbukeni hakuna aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake.Mtafutie mwenzie
Jaribu kumuelimisha na jitahidi uwe na japo shahidi,la hakuelewi moyo wako wala hauto hitaji mshauri utamalizana mwenyewe kuchukua mke mwengine ili kumkomoa alokuwepo bado hujatatua tatizo...Unamke mwenye tabia za uongo, kutoa mambo ya ndani kuyapeleka kwao ,chako chake ,na chake chake, bila kujari mnafamilia, kama imekukuta kama hili ulilitatuaje? Chukulia umejaribu kumuelimisha lakini haelimiki,
Mmmhhh! Hamna hata huruma. Kumbukeni hakuna aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake.
Kumbe na wewe umeliona hilo. Wanajifanyaga malaika sa sijui malaika wa wapi?huu uzi angeuleta mwanamke stori ingekua tofauti... hakuna mwanaume angemshauri talaka wala kutafuta mwanaume mwingine ila wangesema " hayo maisha ya ndani mbona unaleta mtandaoni... mwanamke unatakiwa kuvumilia" chaaaa!!
Kumbuka hata mjinga anaweza kuelimishwa na akaelimika.Mengine sio mapungufu ni ujinga