Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndg wana jf hivi kama mwanamke amaekukimbia Mara NNE na zote akarudi ukampokea je kuna kosa. Pia kama umezaa nae mtoto na ana miaka 4 na anataka kukuletea ili awe huru je sheria inasemaje maana...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu nimeamua kuja na Id mpya kulingana na unyeti wa swala langu, Natumai kuwa humu kuna watu wazima na walionizidi mawazo ndo maana nikaja kuomba msaada wa mawazo kwenu .Iko...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
MSIKILIZE HIYO JAMAN... KWA WATAKAO ELEWA LUGHA HAYA, NI WORTH THAN AN ACTION MOVIE...
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Kijana mmoja kwa Jina la Fredrick Richard amefikia hatua ya kujinyonga baada ya mpenzi wake (Rose) kumsaliti na kugawa tunda kwa rafiki yake kwa jina Robert. Kabla ya kufikia maamuzi ya kujitoa...
17 Reactions
452 Replies
122K Views
Salaam.... Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu. kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat. Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na...
27 Reactions
208 Replies
16K Views
Alipoamka wakamsihi sana asipanic ili wajue ukweli. Asimwambie mke wake wala asioneshe tofauti yoyote akirudi nyumbani ili dada asihisi kitu basi baba akarudi nyumbani akampigia simu mama arudi...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni zilezile tafiti za MMU na maajabu yake! Wengine kumbinya mapmbu asiwahi kukojoa, Wengine kumuingiza dole kunako sijui mara kumlamba tigo asikie utamu zaidi ooo Wengine kuweka asali mara limao...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
*_Nimeipenda hiiiiiii!_* [emoji4] Utasikia watu, eti watumie watu 10 » *Utaingia peponi*. Au » *mambo yako yatakuwa mazuri.* *_Hivi mnadhani Peponi mchezo!_* » Yohana mbatizaj *aliishi hadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natumai wazima, Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kumsaidia mume wangu kufika kileleni haraka. Mimi ni mjamzito wa miezi saba sasa na mume wangu huwa anachukua karibia saa nzima ndio amalize na...
5 Reactions
98 Replies
27K Views
Amani (jina sio halisi) ambaye ni rafiki yangu wa karibu, ndoa yake sasa ina muda wa miaka minne na amejaliwa kupata watoto wawili, wakati mke wake anakwenda kujifungua kijijini, Amani alibaki...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wanajf Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano na tangu nianze shule ya primary hadi hapa sijawahi kufanya mapenzi kwa sababu nilishapanga kuwa nataka masomo yangu yasiingiliwe na mambo ya...
1 Reactions
95 Replies
12K Views
Jamani hii ishu ya u-gay imeshamiri sana duniani... Yani saa hii hata mtu akitaja neno shoga sishtuki kama zamani.... Leo ktk pita pita zangu nikakutana na kitoto cha kiume,umri wake kama 9years...
15 Reactions
71 Replies
6K Views
Habar za weekend wana MMU Kama kichwa cha habari kinavyosema. Katka utafit wangu nimegundua kwamba mikoa michache ya Tanzania ambayo inaongoza kwa kuwa na watu weusi ni kwamba wanaume hawatahiriw...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa...
2 Reactions
211 Replies
33K Views
Amakweli Mungu hakunyimi vyote na haupi vyote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly, maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu...
5 Reactions
110 Replies
40K Views
Not everyone can be amazing in bed but when you have a big name, the expectations are high. These celebrities who are bad in bed, have acquired a bad bedside reputation from various hookups and...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wapendwa hamjambo!! Katika kufuatilia kwangu, nimegundua njia bora zaidi ambazo zitanisaidia mimi kuimarisha ama kutengeneza connection/bond ama kiswahili mnasema muunganiko mzuri kati yang na...
10 Reactions
92 Replies
10K Views
Habari za wakati huu wanaJF, Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa. Nimekumbana na yafuatayo:- -Sikujua hapendi utani, nikamtania...
1 Reactions
158 Replies
12K Views
Hafijawa Matata alidamka asubuhi na mapema kwani usiku wote kwake ulikuwa kiza cha kuogofya!naaam kaka hafijawa hakupata hata lepe la usingizi. Aliposikia milio ya jogoo kuashiria kuwa kiza...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika mojawapo ya raha azipatazo mwanamume rijali (walio wengi), mojawapo ni kumuangalia mwanamke mrembo kwa viwango vyake. Kwani hata wanawake mnajiremba ili kupata attention hii kutoka kwetu...
18 Reactions
119 Replies
13K Views
Back
Top Bottom