Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Wakuu habari za mishughuriko..
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu, najua humu ndani kuna madaktari na wenye uelewa juu ya afya ya uzazi.
Nina ujauzito wa miezi minne, awali ya hapo ujauzito wangu ulipokua na mwezi mmoja nilisumbuliwa sna Na ugonjwa wa kutoka uchafu ukeni Kama mtindi. Nikaenda bombo nikapewa Amoxylin na dawa za kutumbukiza ukeni lakin hali ikaenda nikamaliza doz baadae ugonjwa ukajirudia tena, nikapewa dawa tena lakini namshukuru Mungu nikapona kabisa....
Wasiwasi wangu ni hz antibiotics nilizo kunywa je! Hazita niletea madhara kwa mtoto alieko tumboni maana mimba yangu ilikua changa sna nikaugua ugonjwa huu.
Naomba wataalam mnipe ushauri dadaenu maana nawac wac nisijezaa mtoto mlemavu.