Anauliza "Mlitaka Nijibebishe Kwenu?".

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,736
75abef89fa2898a0f5b4581a76df06c1.jpg
4572789cf96b6b80b8df912d7dd38935.jpg

nimepishana nayo huko fesibuku,nikaona si vibaya nikiishea hapa MMU.

NB:kwa sisi wanaume,ukikuta mke wako au mdada unayetarajia kumuoa ka-post ujinga kama huo fb/instagram utamuweka ktk kundi la wanawake wa aina gani?.
 
Mmh...tatizo lipo...kwanza Mimi wanadada wanaovaa magauni marefu na kushakiria kwa style ile,tayari nawaona wana tatizo.
Some time kaka zangu mengine inabidi myazarau ili maisha yaende utawachambua wangapi mana siku hizi madada wamepinda kwanza naona na wewe umejipa kazi kubeba shombo kama hizi. Huwezi kuwa na mwanaume mwenye hakili ukaanza kuweka mtandaoni maisha yenu ukiona hivyo wote wamefanana hakili. Sasa wewe unahacha kupigana na hii hali ya maisha unaanza kubeba hujumbe kama huu haya maisha ni maisha ya mabinti wa uswazi . Ila kila mmoja ana mtazamo wake .
 
basi sawa.
 
Ao WANAWAKE wa uswaz we acha tu ila wana RAHA maana mi demu asipokuwa mcharuko siku mbili namuacha, napenda nipate changamoto sana anapogoma nikikaa mwenyewe nafurahi adi basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom