Napendwa sana na Madem/Wake za watu

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Habari za asubuhi ndugu zangu
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba nimekuwa nikipendwa sana na wake za watu. Sielewi suala hili niliite ni Tatizo au bahati ama Mkosi kwa maana wakati mwengine huwa naogopa hata kuwafahamu wake/madem wa washkaji zangu nikihofia wasije wakafall in love with me. Naombeni mnishauri nifanye nini ili niepukane na janga hili cz limesha sababisha mie na wife kugombama zaidi ya mara 7 akinihisi labda nina mahusiano na wamawake wengine cz 98% of my contacts ni wanawake. Nashindwa la kufanya kwa sababu hata kazi ninayofanya clients wangu wengi ni wanawake so huwa tunapeana contacts. Nahitaji msaada wenu jamani Kuokoa ndoa yangu. Nilimruhusu wife kupokea simu yangu pamoja na kusoma messages bt haikusaidia cz zaidi ya mara 3 alikuta messages za mialiko ya Lunch kutoka kwa wanawake tofauti. Kuna mtu nilimuelezea akaniambia huenda ni pepo/jini anahusika bt kwa kuwa akili yangu haipo katika imani hizo nilimsikiliza nikapotezea.
 
pole mkuu
 
Unafany kaz gan hio ambayo inayopelekea ww kuhamian na wanawake au saloon za kike msus
 
sele acha kuwa too social, punguza ushikaji na mademu /wake za watu.. wanawake apart from all things pia wengi tunapenda mtu charming mnaweza ongea chochote bila kujali kitu.. kama ujuavyo mapenzi mengi is too formal hakuna utani, wanaishi kama mtu na bosi wake....... punguza hilo utaniambia
 
Una nyota mbaya, siku hizi vilainishi vimekatazwa... Kua makini ndugu yangu
Vipo wewe hela yako Tu
bf76b0dd9e6910fc01cd22abd25cbd14.jpg
 
sele acha kuwa too social, punguza ushikaji na mademu /wake za watu.. wanawake apart from all things pia wengi tunapenda mtu charming mnaweza ongea chochote bila kujali kitu.. kama ujuavyo mapenzi mengi is too formal hakuna utani, wanaishi kama mtu na bosi wake....... punguza hilo utaniambia
Mi napenda sana utani
 
Sele mkonje wacha hizo tabia (kama tadinu tudani) sababu vile unavyowafanyia wenzako na wewe utakuja kufanyiwa hata kam ni baadae sana
 
Back
Top Bottom