saitan
New Member
- Jan 17, 2017
- 1
- 1
Jamani nimepokea simu ya malalamiko ya shemeji yangu, mke wa rafiki yangu akilalamika hali ya maisha yao na kibaya zaidi anatamani akatoe mimba ya mshkaji kisa jamaa hana kazi.
Yeye ndo kaajiriwa kwenye secta nzuri ila anaona kama mzigo utakua mkubwa, akiwa na watoto wawili wakati yeye ndo mtunzaji wa familia.
Ushauri wa kumpa wadau maana anaonekana amekata tamaa sana.