Akisema YOU ARE NOT MY TYPE usinune....Just
smile,hajakudhalilisha,hajakushushia heshima...
Inawezekana level uliyo wewe hajafika,na
hastahili kukumiliki,so akisema sio type yako ni
kweli,He/She...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28, awe na shughuli inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm.
Habari za J2 wapendwa,
Huyu shost mtakuwa mnamfahamu ni yule tulipata pamoja Ki-paimara katika lile kanisa. Shost huyu kwao wamezaliwa mabinti 6 hawana kaka na mabinti wote sita wametoka...
Wanawake wa namna hii unaweza kuwa na nia ya dhati kabisa ya kuwanasua katika matatizo ya kimahusiano ambayo yanawasumbua lakini kule kutokujiamini kwao mwisho wa siku kunasababisha kuvuruga...
Thamani ya mtu, inaonekana, pale ambapo anakuwa hayupo. Vivyo hivyo, amani, inakumbukwa pale ambapo kuna kutokuelewana.
Watu wengi wanajivunia, kuwa na uwezo wa kumudu maswala yao binafsi, hata...
Hakuna wakati unakuwa na amani na utulivu wa akili na kuweza kupanga mambo ya maana kama usipokuwa na pesa mfukoni. utapanga mambo mengi ya maana ... sijui kupiga rangi nyumba, kutumia wikiendi...
I hold the above statement true, when you have found the right person for your future. To let him/her go because of what you are facing is weakness, to hold on to him/her is maturity.
After you...
Za saa hii ndugu,
Jamaa na marafiki, Leo nimekumbuka kitu ambacho huwa kinanifanya nimkumbuke mtu flani. Nilikuwa na binti mmoja ilikuwa 2015 mwishoni. Tulikua wapenzi. Alikuwa ni mzuri kiasi...
Habarini wakuu,
Mimi nna shida moja, inaweza kuwa imejijenga kulingana na maisha niliyoishi tangu mdogo.
Ipo hivi, mpaka sasa mimi ni kijana kwenye mid 20's hiv pamoja na umri huo lakini sina...
Wanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your...
Kuwa na Penzi bora na Imara ni Uamuzi wako, na
kuwa na Penzi lisilotabirika pia ni Uamuzi wako.
Ni sawa na uchaguzi wa King'amuzi gani utumie
nyumbani...Ukitaka Coverage ya uhakika nenda
pale DSTV...
Nimeshuhudia mwanamke anamuadhibu mwanae kama nyoka, kipigo alichopigwa yule mtoto ni ajabu maana inafikia mzazi unamuumiza mtoto wa miaka mitano huu ni ukatili. Wanawake tuwe na upendo kwa wanetu...
Kupenda ni suala ambalo ni innate/ in born tendence ni jambo la Asili. haliepukiki mtu kupenda na wengi wetu tumeshapendwa au kupenda, tumeshawahi au tupo kwenye mapenzi. kwangu mimi napenda tu...
Hi members?
Right about me..Well I'm a guy who would like to meet some nice girl to talk here a little bit and see if we have anything in common then swap numbers and talk on the phone and meet...
UKITAKA UINJOI MAPENZI WEWE JITOE UFAHAMU TU
Ishi kama hakuna chamaana duniani na usijiulize ulize maswali kutaka kuchambua mambo na kujaribu kutumia akili kwenye mapenzi. . . .
ukitaka kutumia...
Habari za leo wapendwa,
Wengi wetu mpaka tumefika form six ndiyo unapata first boyfriend na ahadi kibao, wakati huo hujajua chuoni utapangiwa wapi, mawasiliano Enzi zile hayakuwa kama yalivyo...
Hbr ndugu zangu
Mwishoni mwa mwaka jana nilipata mapigo mawili magumu kwangu,kufiwa na mzazi na baada kama ya wiki 3 nikamfuma mchumba ang na bwana mwingine, niliweka uzi na nashukuru wadau kwa...