9inone
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 774
- 317
Nimeshuhudia mwanamke anamuadhibu mwanae kama nyoka, kipigo alichopigwa yule mtoto ni ajabu maana inafikia mzazi unamuumiza mtoto wa miaka mitano huu ni ukatili. Wanawake tuwe na upendo kwa wanetu jamani kwani hata sie kama tungelelewa kwa njia hiyo ya kikatili nadhani tusingefika.