Mapenzi ni kuridhiana tu

Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
619
598
UKITAKA UINJOI MAPENZI WEWE JITOE UFAHAMU TU

Ishi kama hakuna chamaana duniani na usijiulize ulize maswali kutaka kuchambua mambo na kujaribu kutumia akili kwenye mapenzi. . . .

ukitaka kutumia akili nenda kawe mwanasayansi utusaidie kuvumbua dawa za surua na pepopunda. . .

Ukiwa penzini au ukiwa unataka kuingia penzini kaziache akili zako maabara zisaidie kukuza minyoo. . .

Kila mtu ANATAKA MPENZI WA PEKE YAKE lakini kila demu unayegusa unakuta JAMAA WALIPITAGA ZAMANI na hawana idadi. .

Na ukijifanya kutumia AKILI kumuuliza..

"Umewahi kulala na wanaume wangapi kabla yangu?"

jibu lao huwa ni rahisi kweli. .
"Wawili tu yaani we ndo wa 3"

wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54. .ana ma EX 53 . .

Mtu ana ma EX 53 atakuwaje MPENZI WA PEKE YAKO?? Inamaaana wewe ndo unasugua na steel wire au???

Kashaguswa na kila type, pingili za mihogo, ndizi kisukari, tango, tambi ya jiko, kinukta, mnara wa simu, pingili za miwa, mipini ya jembe, Dudukila, na kila type..

na lazima mmoja kati ya hao ma EX 53 yupo aliempenda sana japo anafanya kaz nje wakaachana ingawa kuna wakati wana ongea kimyakimya. .
Kuambiwa wewe unapendwa haimaanishi hamna EX ambae kila akimuona ANALOWANA. .

Na maEX wengine hawana huruma hata wasipoonana miaka miwili, siku wakikutana ANALOWA jamaa anapitisha dekio na atarudi home anakutext,
"I love you babe mi ndo nalala, nakupenda sana."

ukiamua kupenda we penda tu ila ukitaka kujua yanayojiri penzini UTAWEKEWA DRIPU BURE
 
Kumchunguza mtu mzima mie nauita uchizi. Mapenzi huanzia pale mnapokutana, hizo za kuchunguza past ni kuichoka amani
 
Hatari sana, acha nitumie akili yangu kukuza viwanda na si mapenzi, shukrani sana mkuu nimecheka sana aisee..
 
Kweli asee
Kumchunguza mpenzi sana kila muda utakua katika bad mood
 
Daah wejamaa umenichekesha sana aisee kuchunguzana sio ishu, sinaga muda wa kuumizwaroho na mtu kwasababu ya penzi.
 
Namna unavyoyafikiria mapenzi ndio utaishi katika kupitia unavyowaza......ukienda Bila akili Basi tegemea majuto

Wewe ukitaka mwenye bikra...we unayo??? We hujawahi kupita kwingine.....
 
Back
Top Bottom