Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Habarini wakuu,
Mimi nna shida moja, inaweza kuwa imejijenga kulingana na maisha niliyoishi tangu mdogo.
Ipo hivi, mpaka sasa mimi ni kijana kwenye mid 20's hiv pamoja na umri huo lakini sina historia ndefu kwenye mahusiano kwakuwa ni kitu ambacho hakikuwa kipaumbele changu tangu nikiwa teenager, so hata nlivokuwa teen sikujihusisha na hiyo michezo kama ilivo kwa baadhi ya vijana wenzangu.
So ikafika kipindi wakati nimeingia chuo tayar nlikuwa nimeshakuwa na sasa ikawa inakuwa ngumu kuyakwepa haya mambo maana msukumo wa mwili, mihemko, na mazingira hayakuwa rafiki.
Ni time frame ya kuanzia kipindi cha chuo mpaka sasa ndiyo haswa nataka kuizungumzia.
Baada ya mihemko ya mwili na mazingira kunilazimu kuwa na mahusiano nilibahatika kweli kupata wanawake kadhaa na mpaka sasa kwa gap ya miaka kama 4 nilihusiana kimapenzi na wanawake kama watatu hivi.
Japo kwa sasa bado nna mawasiliano na wawili lakini nilitaka kubainisha mambo yafuatayo yaliyojijenga kama tabia baada ya mimi kuwa katika mahusiano hayo.
1. Nilikuwa mgumu wa kutoa pesa. Kwa kweli kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliambulia chochote japo uwezo wa kufanya hivo pia nilikuwa nao lakini nilikuwa tu na moyo mgumu.
2. Kwa kweli sikuwa na wajali, ni wao ndo huwa walikuwa wananitafuta hata mpaka sasa.
Hiyo ni historia tu kwa ufupi ila nilitaka tu kuuliza kama inawezekana kutokutumia pesa na kupata mwanamke mzuri maana sasa hivi nipo namtarget mtoto mmoja bakora sana lakini shida ni pale nikiwaza kupigwa mizinga ya pesa akati na mimi sio mtoaji sasa sijui itakuwaje.
Na wadada, mtu akiwaapproach halafu mnamuona ana mkono mfupi huwa mnachukuliaje?