Kushdon
Member
- Jan 14, 2017
- 15
- 18
Za saa hii ndugu,
Jamaa na marafiki, Leo nimekumbuka kitu ambacho huwa kinanifanya nimkumbuke mtu flani. Nilikuwa na binti mmoja ilikuwa 2015 mwishoni. Tulikua wapenzi. Alikuwa ni mzuri kiasi chake ila siyo kivile wa kutishia.
Siku moja tulikuwa tumepumzika akawaza then akaniambia "baby, nataka nikuze makalio" nikamuuliza "kivipi?" Akajibu "kwa kutumia miti shamba" nikashangaa! Kilichopelekea akafikia kuwaza huko ni nini?
Nikamwambia hapana mbona mrembo tu hivyo hivyo. Akakataa akaniambia "anataka na yeye aonekane mwanamke kweli" nilijiuliza maswali mengi mno. Nikaishia kumwazia kwamba akili zake ni fupi sana.
Hichi huwa kinanifanya namkumbuka ingawaje at the end she broke my heart lakini nikikumbuka huwa namkumbuka pia.
Hivi ndo wanawake wote huwa wanawaza hivi?