Wanawake: Acha moyo wako uongee

Kaboom

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
10,828
14,996
Wanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your pride aside and follow your heart..
To lose pride over someone u love sio kitu mbaya...

Sasa Unamkuta mtu kakondeana utasema anafanya russian air force diet kumbe ni mawazo ya mapenzi yanampelekesha..Shida yote ya nini sasa

Huyu dada nimempenda gafla aisee..Full mikonfidenga..
We unaichukiliaje hii
 
Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    58 KB · Views: 88
  • 2.JPG
    2.JPG
    54.4 KB · Views: 86
  • 3.JPG
    3.JPG
    56.5 KB · Views: 81
  • 4.JPG
    4.JPG
    57.2 KB · Views: 80
  • 5.JPG
    5.JPG
    52.6 KB · Views: 75
  • 6.JPG
    6.JPG
    52.9 KB · Views: 115
  • 7.JPG
    7.JPG
    49.4 KB · Views: 86
  • 8.JPG
    8.JPG
    55.2 KB · Views: 87
Ngumu sana. Na ukitoa ya moyoni,kubali matokeo matatu,kukubaliwa kisha kutangazwa umemtokea wakati hakufeel kivile,kukataliwa kisha kupewa jina la malaya(kisa mdada ndio amemtongoza), kukubaliwa na kuwa mtumwa wa huyo jamaa.

Ni wanawake wachache sana wanaofungukia wanaowapenda na mapenzi yao yanakua mazuri na imara
 
Wacha hiyo tai iniue tuuu, mwanaume anatumia vichwa viwili kuwaza. Mara ujitutumue halafu akuite majina yote mabaya humu duniani na kukutangaza juu au akubali lakini sababu anajua umeoza kwake vituko havitakoma. Aanze kunipenda yeye mie nitaendeleza upendo
 
Wanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your pride aside and follow your heart..
To lose pride over someone u love sio kitu mbaya...

Sasa Unamkuta mtu kakondeana utasema anafanya russian air force diet kumbe ni mawazo ya mapenzi yanampelekesha..Shida yote ya nini sasa

Huyu dada nimempenda gafla aisee..Full mikonfidenga..
We unaichukiliaje hii
kaboom huyu dada yupo darasa la ngapi jamani mwandiko gani huo vifupi mpaka sijaelewa
 
Wacha hiyo tai iniue tuuu, mwanaume anatumia vichwa viwili kuwaza. Mara ujitutumue halafu akuite majina yote mabaya humu duniani na kukutangaza juu au akubali lakini sababu anajua umeoza kwake vituko havitakoma. Aanze kunipenda yeye mie nitaendeleza upendo
Maelezo yako yamenigusa.
 
Ngumu sana. Na ukitoa ya moyoni,kubali matokeo matatu,kukubaliwa kisha kutangazwa umemtokea wakati hakufeel kivile,kukataliwa kisha kupewa jina la malaya(kisa mdada ndio amemtongoza), kukubaliwa na kuwa mtumwa wa huyo jamaa.

Ni wanawake wachache sana wanaofungukia wanaowapenda na mapenzi yao yanakua mazuri na imara
Hayo yote mumeumbiwa tuu lazima yatakupata tuu
 
Wacha hiyo tai iniue tuuu, mwanaume anatumia vichwa viwili kuwaza. Mara ujitutumue halafu akuite majina yote mabaya humu duniani na kukutangaza juu au akubali lakini sababu anajua umeoza kwake vituko havitakoma. Aanze kunipenda yeye mie nitaendeleza upendo
Mkuu mwanaume Wa hovyo ni hovyo tu..Hata kama yeye ndo atakutongoza still anaweza kukuongelea vibaya..Hata wanawake Wa hivyo mbona wengi tu ila wanaume bado tunakomaa..
 
Kama unataka wanaume wenye pesa shurti ujiongeze maana ushindani mkubwa ukingoja akutongoze utangoja sanaa maana watu wanajilengesha daily. Sema sasa wengine nunda kitu kidogo tu unasikia KWANZA ULINITONGOZA MWENYEWE. Hahahaaaa. Yataka moyo.

Humtongozi perse ila unatoa INVITATION TO TREATY.
 
Ooouuhhh laah lah lah! Ukweli wa moyo unaujua ukipenda, tatizo la moyo ukipenda sana unatendwa.! But kusema ukweli Wanawake wengi huwa wanakuwa na feelings kwa Men but hawasemi mimi napenda mwanamke kama he feels me from inside aji express then tujue twafanyaje sio kuanza kunisimanga koz anaona natoka ama nipo jiih na mbshe zangu.
 
Back
Top Bottom