Uamuzi upo mikononi mwako

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,076
17,243
Kuwa na Penzi bora na Imara ni Uamuzi wako, na
kuwa na Penzi lisilotabirika pia ni Uamuzi wako.
Ni sawa na uchaguzi wa King'amuzi gani utumie
nyumbani...Ukitaka Coverage ya uhakika nenda
pale DSTV lipia Decoder ufaidi Channel za kutosha
bila wasiwasi wa mawasiliano kukatika ovyo bila sababu na kuleta stress...Ila ukitaka vitu Cheap-
Cheap basi nunua King'amuzi cha StarTimes au
TING kikupe Stress,Uko katikati ya Tamthilia ya
Kifilipino,Kila ikipita Bodaboda Nje kinaandika
SIGNAL IS WEAK
Uchaguzi ni wako,Ukitaka Penzi bora Chagua Mtu bora na mwenye viwango na uwe tayari kulipa
gharama kubwa coz vitu bora ni gharama
kuvipata..Ukitaka Bora Liende basi okota tu kijana
mtaani kisa ana hela na amekupa elfu 50 kwenye
kideti cha kwanza,au ana shepu kila ukitembea
nae washkaji wanamsifu shem ana nyonga ya ukweli..
Ukichagua Mpenzi aina ya King'amuzi cha Startimes
hakikisha hukai karibu na njia ya bodaboda
lasivyo utageuka DJ kwa jinsi kinavyoscratch.
Shkamoo Chato.
 
Mie nishazoe majitu yaliyoshindikana...nmezoea moto km kitako cha sufuria nkipata kadem kapole nakaonea
 
10818071_1523651897881347_693475652_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom