impelle
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 832
- 1,106
Hbr ndugu zangu
Mwishoni mwa mwaka jana nilipata mapigo mawili magumu kwangu,kufiwa na mzazi na baada kama ya wiki 3 nikamfuma mchumba ang na bwana mwingine, niliweka uzi na nashukuru wadau kwa faraja mlonipa.
Sasa katika kujipanga upya kusaka cha urembo mwingine nikampata nesi mmoja hivi, ananipenda na mtu wa vimizinga mizinga hivi na mambo yenu anatoa kwa kulenga na manati,sema mimi nachukulia pouwa tu maana natafuta mke wa kuoa.
Wa pili ndo huyo tulianza mahusiano toka 2008, nikiwa advance yy akiwa olvl ,tunafahamiana vizuri sana, mama yake na mar.mama alikuwa marafiki sana ,hata msibani alikuwa karibu na sisi sana( namheshimu sana) sasa huyu binti tuliachana nilivofika chuo kikuu nikamzingua naye akanambia nimebadilika tukaachana ila nilipata wengine chuo.
Sasa kahitimu chuo, akaja kunisalimia kufiwa, tukaonana nikamkumbuka sana maana nilimpenda sana na hatukuwahi kudo ,tulipanga mpk tuoane maana kila mmoja alikuwa bikra,
Nimeajiriwa naeneo ya kwao alikojenga mama ake baada ya kustaafu.
Nilimsimulia kisa changu nikamwomba tuanze upya,akakubali ili niendelee na azimio langu la kuoa mwaka huu kabla ya sijaendelea na masomo ya elimu ya juu zaidi nje ya nchi.
Nafikiria kumuoa huyu Wang wa zamani kuliko huyu nesi.
Naombeni ushauri na uzoefu wengu kuhusu hili maana kutafuta mke wa kuoa ni kazi.
Nimebadilika nowadays nimerudi kama zamani, ni mtu wa dini sana, namwomba Mungu kwa kila lililo mbele yangu, nawashirikisha marafiki zangu wanaoomba sana ila siwrzi acha kuwashirikisha Jamii forum, kuna wajuvi wengi humu.
Sijapangilia vizuri.
Shukrani