Kuweza kufanya mambo yako yote na umekwazana na mwenzi wako, ni makosa makubwa

mult_talented_p

Senior Member
Oct 10, 2016
103
120
Thamani ya mtu, inaonekana, pale ambapo anakuwa hayupo. Vivyo hivyo, amani, inakumbukwa pale ambapo kuna kutokuelewana.

Watu wengi wanajivunia, kuwa na uwezo wa kumudu maswala yao binafsi, hata wanapokuwa wamekwazana na wenzi wao. Haya ni makosa makubwa maana, ni muhimu kurekebisha mahusiano yako kwanza, ndo uweze kuendelea na shughuli zako zingine kwa ufanisi.

Ikatokea, umekwazana na rafiki yako, au jirani yako, au mwenzi wako, na isiathiri utendaji wako, basi huyo mtu humpendi!

Kwa kawaida, matatizo, kama vile maumivu, yanakusumbua, ili usiendelee kuvumilia kinachoendelea, na kurekebisha.

Hayo ni maoni yangu.
 
Ni hivi tu maisha mafupi haya
10809006_738681342886025_738023514_n.jpg
 
Usifikiri kuwa mmoja wao kuendelea na yake haimuumizi, inauma ila kuwa busy anaona ndio njia ya kupunguza maumivu
 
Kila mtu angekuwa kama unavyotaka basi shughuli nyingi zingekwama maana kwa maisha ya bongo hapa mikwaruzano ktk jamii ni mingi na niyakila wakati.
 
Back
Top Bottom