Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna haka kamsemo kama sio ndo neno.. Mtaani huku mnakua mnatuacha njia panda washkaji, na haka kaneno "yule mkaka mzuri". Hivi labda hatuelewi sisi na nadhani kuna kathread kalipita ila kama...
4 Reactions
189 Replies
26K Views
Wasalaam wandugu wote hapa jamvini! Nakuja mbele yenu kuleta ushuhuda wa hiki kinachonitokea sasa. Katika pilika za maisha nilibahatika kusoma na mdada mmoja ambaye kwa vigezo vyangu nakiri ni...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nianze, kumshukuru Mora. Nimegundua vijana wengi tunaogopa maisha, niliplan nitafanya kazi kwa miaka mitatu then naoa, kweli nimefanikiwa kama nilivyopanga, sisi ni wanandoa wachanga sana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesoma mahali. Mnadhani ni kweli wadau? Ukiona boyfriend au girlfriend wako mnaopendana kabisa, wakati mmepishana au mna hasira akakutamkia huwezi kuwa mume wangu au huwezi kuwa mke wangu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nashindwa kabisa kuzi-control hisia zangu kila mwanamke nitakayemuona mimi natamani niwe naye, hii hali inanitesa sana, nikitaka kujaribu kujizuia nashindwa kabisa na muda mwingi nikikaa nawaza...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na...
2 Reactions
121 Replies
14K Views
Pita pita zangu Mtaani katika Harakat za kutafuta vitafuniol, so nikakutana na mdada mmoja nilikuwa namfukuzia Kitambo ni geti Kali na hata simu hana kabisa. Nikamsimamisha nikampiga Saundi mvua...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
kwa jina naitwa malamia kabila langu mchaga umri wangu miaka 35 mchapakazi sana elimu ya chuo sijawai kuolewa sijawai kuzaa naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa dini mkristo...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo . mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote mawasiliano...
5 Reactions
119 Replies
11K Views
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Kuna jamaa (Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa simu na class mate wake (tumwite Daniel) anatokea Mwanza anaenda Arusha sasa jamaa akaomba hifadhi ya siku kadhaa awapo Arusha. Alex...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mambo vipi wana MMU, Kama mnakumbuka nilileta uzi wa binti ambaye nilifumaniwa nikiwa nae. Yaani alotufumania ni mchepuko wangu, sasa leo hii kaamua kunisalimia na kutaka kurudisha picha zangu...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Bila ubishi kuwa kisukari ni ugonjwa unaotesa sana watu kwa sasa. Licha ya gharama ya dawa vipimo pia nimegundua si ugonjwa mzuri kwetu wanaume wenye ndoa zetu. Hii inatokana na kushindwa...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
Eti mwanaume kuoga pamoja na mkewe ama mpz wake sio upendo kama tunavyodhani. Ila inaaminika kuwa ni kutompa nafasi mkewe/mpz kupekua simu. Ama kupokea simu. Je, hapo kuna ukweli?
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari za wasaa huu ndugu wangu? Siku moja nikiwa kijiweni na sahibu zangu nikasimuliwa kisanga fulani hivi, kihusucho mke wa mtu anayemilikiwa na mumewe tu. Nitatumia mbinu za kisanaa na ufundi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za wasaa huu ndugu wangu? Siku moja nikiwa kijiweni na sahibu zangu nikasimuliwa kisanga fulani hivi,kihusucho mke wa mtu!Anayemilikiwa na mumewe tu.Nitatumia mbinu za kisanaa na ufundi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yako wapi mapeenzi, China wa China....., Kwanini umeondokaa sijui ulipoo, Nimekula bia nyingi saanaa, kumbe nimezidisha Mawaazo kwanini umetawala Moyo wangu eeee! Nakupenda Sanaa, kama mtotoo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu wasalam, Naomba nisielezee historia yangu kwa sana, lakini kifupi mimi ni Mtanzania lakini katika harakati zangu za maisha niliwahi kujilipua na kukaa nje ya nchi muda mrefu. Baadae...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…