Ndoto zangu za kuoa awamu hii ya tano zimeyeyuka

Nonpartisan

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
278
254
Habari zenu wadau,

Nilikuwa na hamu sana kuja kuoa pale ifikapo awamu ya tano, Lakini kutokana na hali alisi ya maisha ilivyo kiukweli naona nisogeze wazo langu mbele kidogo.

Nitafikiria tena wazo hili ifikapo 2026. Awamu hii nikikupa kadi ya 70,000 utanichangia?

644441c183219f9b297a259cea683f41.jpg
 
Nenda kwa wakwe katoe mahari funga ndoa yako kimya kimya au kwa sherehe ndogo. Sherehe kubwa zinafilisi.

NAHISI LENGO LAKO NI KUTAKA WENGI WAKUUNGE MKONO(MKUMBO) MAANA SIKU HIZI ILI UONEKANE MJANJA SINGIZIA AWAMU HII HALI MBAYA.(wengine ni uvivu tu)
 
NA UKITAKA KUJUA HALI YA MAISHA NI NGUMU KWA SASA,KAWAULIZE WACHAWI WATAKUPA STORY KUA....ENZI ZA MWALIMU WALIKUA WANAWALISHA WATU NYAMA USIKU,ILA SASA WANALISHA NYANYA CHUNGU TU..
(Kweli mjomba magu nooumaaaaa)
 
Mkuu acha uoga maisha hayo unayo ishi ndo maisha aliyo kupangia mungu na ukumbuke kila MTU hupewa sahani yake na mungu ukioa kina baraka zitaongezeka
 
NA UKITAKA KUJUA HALI YA MAISHA NI NGUMU KWA SASA,KAWAULIZE WACHAWI WATAKUPA STORY KUA....ENZI ZA MWALIMU WALIKUA WANAWALISHA WATU NYAMA USIKU,ILA SASA WANALISHA NYANYA CHUNGU TU..
(Kweli mjomba magu nooumaaaaa)
 
Back
Top Bottom