BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Wanawake ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono,tamaa ya pesa, tamaa ya u-handsome boy, tamaa ya six packs, tamaa ya luxurious things kama magari n.k
Tukichukulia mfano ngono ama cheating kwa mume wa mtu, hebu fikiria udhaifu huwa unatoka wapi wa kutongozwa na mume wa mtu mpaka kutembea nae??
Jibu ni moja tu kipindi anafanyiwa hivyo na anakubali anakuwa akili zake haziko kawaida(anajua wazi huyu ni mume wa mtu, ama labda anajua ameolewa ama ana mpenz wake na ambao wako katika serious relationship), fikiria kidogo uchungu wa mume, ama uchungu wa kuibiwa mupenzi.
Vipi ukimkuta mwanamke mwenzio juu ya kifua cha mumeo ama chini mumeo kamlalia anaguna kwa raha utajiskiaje? Au visualize tu hilo tukio sasa hivi katika akili yako!!..unahisi nini? Unasikia kuna kama sumu inapenya eeeeh? Kama husikii chochote bas huyo ulienae humpendi.
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanamke mwenzio pale anapogundua mumewe katoka nje ama mpenz wake. Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu? Akili haiwezi kuja mpaka mtu afike kilele wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanamke huwa hazifanyi kazi kabisa kabla ya kufika kilele. Nisaidieni niwaelewe nyie baadhi ya wanawake viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Big up kwa wanawake ambao ni waaminifu katika mahusiano yao na iwe katika ndoa ama bado, wasio na tamaa wenye upendo wa dhati,,pure love from pure heart, wasioweka selfish reasons zao mbele badala ya upendo wa dhati. Nyinyi ni malkia wa Nguvu. Nasisitiza nyinyi ni malkia wa NGUVU and i mean it.