Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Habari wakuu,
Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.
Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.

Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo ili tuweze pia kudumu kwenye ndoa zetu na kuishi na jamii nzima kwa ujumla.

Kitendo cha wasichana wa siku hizi kukosa mafunzo hayo kimekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika.

Tusaidieni!
 
Acheni uchono wanawake wa JF, msituogope Wanaume tutafunga macho, pia hatutafungua huu uzi nyie endleeni na somo
 
Back
Top Bottom