boy mzuri
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 287
- 436
Naomba nielezee kwa ufupi ......
Nmeishi na mke wangu kwa muda bila kupata mtoto. Nikaona nitafute mwanamke mwingine labda tatizo linaweza kuwa kwa mke wangu " yule mwanamke mwingne akashika ujauzito mapenzi yote yakahamia kwake ,,,
Mke wangu akabaki kwenye huzuni maana kwa jinsi nilivyokuwa na hamu na mtoto nilifanya niwezalo ili tu ajue....Lakini leo hii mimba aliyokuwa nayo yule mwanamke wa nje nasikitika kusema amejifungua mtoto siku hazijafka hivyo mwanangu amefariki na mama yake alikuwa na hali mbaya sana lakin nashukuru Mungu kwa sasa anaendelea vizurii .....
Kwa hiyo nawaomba ndugu zangu mshukuru kwa kila jambo ambalo Mungu amelitenda kwetu sisi binadamu ,,, Hivyo ninavyowaambia sasa mke wangu amejifungua mtoto wa kiume na wala huwezi kuuliza et mtoto wa nan maana tumefanana mno ......Ashukuriwe mungu siku zote za maisha yetu...........