NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,387
Habari za asubuhi waungwana,
Kuna kitu naomba kuuliza, hivi ni kawaida au ni sawa kwa mume/mpenzi kumfulia nguo za ndani mkewe au mpenzi wake?
Yani sio kama mara moja kwa week au akiwa na mood tuu, bali ndio anavyofanya na mke au mpenzi akifua mwenyewe inakua tafrani kwanini umefua nimekwambia ziache nitafua mwenyewe.
Hii ni kawaida kwa wanandoa au ni choice ya mtu au ni raha zake tuu?
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo please naomba anifahamishe.