Ni kweli baadhi ya wauza mihogo wanaotembeza na beseni wanajiuza?

ebbyramadhani

Senior Member
Jan 5, 2017
101
109
Habari waungwana,

Eti wanasema baadhi ya wale wadada wanaouza miogo, nazi na machungwa wanaotembeza kwenye mabeseni wanajiuza mzee niliomsikia akisema ivo.

Amesema yeye ashajaribu kama mara kadhaa hivi amethibitisha
kwa maana wanauza na vitu vingine, ukiongea nao fresh tu na pesa yako.
 
Sio hao tu hata wale wanaotembeza mboga mboga,vitumvua na vyakula kwenye site wote wanajiuza, kimsingi ukimkuta mwanamke anafanya biashara yoyote ile we jua kila alichonacho unaweza kukinunua ni maneno yako tu mazuri,me nimejaribu hata kwenye maduka kadhaaa ukienda ukimkuta mdada we msomeshe uone
siunajua mtaji mzima unakuta elfu 10 mtu anampa hiyo pesa maramoja halafu anamwambia twende kumangana
 
1c77d2a51bdb73cf3babb97de878640b.jpg
 
Back
Top Bottom