Mke wa mtu ana nguo moja ya ndani, sijui akitoka inakuwaje!

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,106
2,000
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.

Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi. Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.

Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,536
2,000
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.

Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi.Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.

Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.
Swali la kizushi.....
Hivi mwenye 'kufuli' moja na wewe mwenye nyingi halafu huvai, MNA TOFAUTI GANI?
 
Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,674
2,000
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.

Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi.Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu ni mke wa mtu.

Sijui huyo baba mke anatoka bila kufuli huwa anawaza nini.
SASA HUYU AKIWA MP INAKUWAJE HII NAYO KALI DAS LAM MMETISHA MARA HAMZITAKI MPAKA MNABAKIWA NA MOJA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom