Hivi mke anaombwa ruhusa au anapewa taarifa?

Hivi mke anaombwa ruhusa au anapewa taarifa?

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
957
Ndugu zangu,

Huwa inatokea muda mwingine nyakati za jioni natakiwa nijumuike na waname wenzangu tukae vikao vya faragha ambavyo sio mara kwa mara lakini kila nimpapo taarifa mwenza wangu anakasirika.

Sasa wenzangu huwa mnafanyaje, nataka nijue mwanaume anatoa taarifa au anaomba ruhusa kwa mkewe.
 
Ndugu zangu huwa inatokea muda mwingine nyakati za jioni natakiwa nijumuike na waname wenzangu.tukae vikao vya faragha ambavyo sio mara kwa mara.lakini kila nimpapo taarifa mwenza wangu anakasirika.sasa wenzangu huwa mnafanyaje.nataka nijue mwanaume anatoa taarifa au anaomba ruhusa kwa mkewe
Mwanaume usitoe taarifa wala kuomba ruhusa kwa mkeo!
 
Wanawake watu wa ajabu sana ukimpenda sn atataka akutawale wangu miaka ya nyuma nilikuwa namfanya km rafiki akajisahau.sasa wewe ukiwa unatoka unamwambia badae mke wangu huwezi kuomba ruhusa halafu punguza kucjeka cheka nae ili ajue wewe ni baba atabadilika hapo ujue anakuona km shoga yake Mwajuma
 
afadhali hata ww unatoa taarifa! mwingine haonekani home hadi saa nne tano usiku hv..unapiga simu mume wangu uko wap?usiku sana na hukunambia:....aaah sa hivi ni usiku? nyie kuleni ntakuja niko na wanaume wenzangu tunazungumza.:kamaliza huyooo
 
Kwani rais akitaka kuteua kiongozi fulani anamwomba waziri? Anampa tu habari. Biblia inasema kaeni na wake zenu kwa akili, na mume ni kichwa cha nyumba. Hata kama unampenda mkeo kupindukia lazima umwonyeshe kwamba uamuzi wa mwisho ndani ya nyumba ni wako. Lakini wakati wote usiache kumsifia anapovaa na kupendeza, anapokupikia chakula unachopenda n.k. Kaa naye kwa akili all the time
 
Ndugu zangu huwa inatokea muda mwingine nyakati za jioni natakiwa nijumuike na waname wenzangu.tukae vikao vya faragha ambavyo sio mara kwa mara.lakini kila nimpapo taarifa mwenza wangu anakasirika.sasa wenzangu huwa mnafanyaje.nataka nijue mwanaume anatoa taarifa au anaomba ruhusa kwa mkewe
Anatoa taarifa.
 
Unless you are mad. Tangu lini baba kaomba ruhusa kwa mwanaye? Toa taarifa, na kama akikasirika usitoe tena. Kama ukirudi analeta nyodo, usirudi. Lala huko huko ataomba po.
 
Back
Top Bottom