mis lemich
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 207
- 176
Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Hadi umeamua kuoaa hayo majanga hayaonekaniWanawake wazuri wengi ndani ni majanga....Hao ni wa kuuzia sura tu,tukihitaji burudani tunatafuta wenyewe!
Unasema kweli lakini mali mpya haziishi .... Huwa kuna kitu kinatafutwa hasa .? hapo tu ndo natamani kujuaWanatafuta mali mpya.Si unanielewa??
Ameejaliwa kupata mwenye sura na shepu tena sii hivyo na tabia nzuri...Lakini bado kutosheka ... Nini tatizoWanawake wengi wenye sura nzuri huwa na shepu za kiajabu ajabu sana kama si mfupi basi mwembamba, mifupa imemtoka kama mbuzi wa muuza supu. Sasa hao wanaotazamwa huwa na shepu mwanana lakini sura kama nyapala wa Segerea.
Mkitaka kuolewa mnakuwa kama bikira Maria vile....tutagunduaje?Hadi umeamua kuoaa hayo majanga hayaonekani
Mwanamke anaependa kweli hana maigizo.... rafikiMkitaka kuolewa mnakuwa kama bikira Maria vile....tutagunduaje?
si lazima hayo lakini uzuri uliouona kwa mwanamke hadi umefanya maamuz ya kuoa nini ... Kina sababisha bado machoSwali langu la msing naona limekimbiwa ...
Je sifa bora ya mwanamke ni shepu tu? Kwamba uitwe mwanamke na badae upate cheo chenye thaman cha kuitwa mrs flani ama mama flani ni lazima uwe na shepu
Aiseee!Wanawake wazuri wengi ndani ni majanga....Hao ni wa kuuzia sura tu,tukihitaji burudani tunatafuta wenyewe!
Ukishamuweka ndani sasa,Mkitaka kuolewa mnakuwa kama bikira Maria vile....tutagunduaje?
Wewe wasema!Mwanamke anaependa kweli hana maigizo.... rafiki
Sasa emb kuwa muwazi ..kwamba macho.kodo kwamba niko na mke wang nmemuona mwanamke mzuri namuangalia kwa kumuangalia tu au naenda kua na mahusiano na huyo mwanamke (mnatumia neno kuchepuka)....si lazima hayo lakini uzuri uliouona kwa mwanamke hadi umefanya maamuz ya kuoa nini ... Kina sababisha bado macho
Kuelewa umelewa natumai..... Kutmbua na kuwa nae kimahusiano......Sasa emb kuwa muwazi ..kwamba macho.kodo kwamba niko na mke wang nmemuona mwanamke mzuri namuangalia kwa kumuangalia tu au naenda kua na mahusiano na huyo mwanamke (mnatumia neno kuchepuka)....