Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
(a) pesa ? basi mbona wenye nazo wanasalitiwa?
(b)Mapenzi ya kweli? mbona Hawa kila siku ndo wanaongoza kwa kukataliwa?
(c)Wenye mwonekano mzuri?Mnawaita madume suruali?
Hivi mnatakaje ????