1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.
4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda...
Kumekuwa na tabia ya wazazi au walezi kutoa kauli za kibaguzi mfano mtoto ni huyu yaan hawa wengine hakuna kitu ,hawatakuja kukusaidia kitu .hivi jamani anaekuja kukusaidia huko mbele...
Hivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibaya, yani usipomsema mwenzio unaona siku haiendi au inakuwaje, unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakini au akiwa na shida...
Habarini za weekend wana jukwaa.
Ni mwaka sasa umetimia nikiwa na mchumba wangu. Na sasa nshatangaza ndoa tayari.
Ila nasita kidogo kuendelea na mchakato kwa sababu nahisi huyu mchumba anaweza...
Unapanga akirudi huyu nitamuliza mbona umerudi usiku huu saa nne ama saa tatu ila akifika tu unaona noma kuuliza.
Sasa nisaidieni niulizeje hili swali ili ikamue nyongo , maana unaweza onekana...
Enough abt wives, now somethng for husband.
A new metal is added to chemistry:
• Name - Husband
• Symbol - Hb
• Atomic weight:
- Light when found
first
- Tends...
Habari nyie watu
Aloo niko na kaswala kananipa shida flan, sielewi ni kwangu tu au kwa wanaume wote. Huu urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ivi unaendanga hivyo hivo bila kugusana ?
Kwakweli...
Ni weekend nyingine inshallah.
Wana MMU nadhani Kila mmoja wetu anafahamu mahusiano ninini whether just friendship courtship or marriage. When you are in any kind of relationship there may be...
Sijui ni hali ngumu ya maisha au tamaa ya kuolewa kuna binti nimewasiliana naye kama miezi miwili ni mzuri ila hana elimu sana kaishia form four sasa ananibembeleza nimuoe nimemwambia sijajiandaa...
Mimi ni mama wa watoto watatu, nimefunga ndoa mwaka wa 11 sasa. Siku zote tumeishi vizuri na mume wangu, makwaruzano ndani ya ndoa hayakosekani ila siku hizi mume wangu amebadilika sana kiasi cha...
Nimekaa kutafakari kuona hali ya mahusiano ilivyo kwa sasa. Na pia napigwa na butwaa zaidi nikisoma baadhi ya thread kwenye jukwaa la Love connect.
Inashangaza sana kua mtu either mwanaume ama...
Utakuta mtu amesoma, ana kazi nzuri na hela ya kutosha, mume pia anaye, tena mwenye hela zake nyingi, lakini mdada anaenda kutembea na hausboi, au dereva aliye mwajiri mwenyewe.
Aibu na...
Salamu zenu wana JF,
Karibu tena leo tuongelee harufu inayoweza kumvutia mwanamke au jinsia tofauti kimapenzi.
Tofauti ya maneno matamu na kuwa na body zuri kitu kikubwa kinachoweza kumvutia...
mke wa pastor alia mahakamani akiomba divorce. reason? hajapata unyumba miaka 7! saba! miaka saba hajapata service ya papuchi! loh! sijui alikuwa anafanya nini ule mwaka wa kwanza but if it were me...
Habari zenu wana MMU
Aisee jana kunako disko la wadutya nilienda kujipunguzia msongo wa mawazo wa mwezi januari jinsi ulivyonitesa kwa kunifanya nishinde njaa kutokana na kutumia pesa vibaya...
Habari wana JF
Naomba tujadili hili swala wadau.
Hivi inawezekana kumpenda mtu halafu usimuamini kabisa?
Upo kwenye mahusiano na binti/mwanaume yoyote. Anadai anakupenda ila hakuamini. Hayo yote...
Wazee usiombe likukute lililonikuta!
Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out...
Unapokutana na COUPLE yenye miaka takribani 10 wakiwa wanapendana kama wameoana jana, wakitaniana na kucheka pamoja, wakikusimulia kuhusu utamu wa ndoa na jinsi walivyokutana mpaka walipoamua KWA...
Let us be realistic, wanaume tubadilike tuwe na huruma kwa wake na wapenzi wetu, unakuta mwanaume unatoka asubuhi kwenda kazini hauachi hela ya matumizi, unategemea familia itaishi vipi?
Wapo...
Nina huyu cuzo wangu ana bwana, the guy ana kazi nzuri tu, kapole, he is a gentleman, anampenda sana my cuzo like sana yani and all that (kwa mimi navyomuona).
The problem ni kwamba cuzo wangu...