am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 505
Nina huyu cuzo wangu ana bwana, the guy ana kazi nzuri tu, kapole, he is a gentleman, anampenda sana my cuzo like sana yani and all that (kwa mimi navyomuona).
The problem ni kwamba cuzo wangu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.
Back then walikua wanapenda sana tu, my cuzo alikuwa haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alikua mkoa mwingine kikazi.
I started noticing changes the guy alipokuja Dar es Salaam, first time cuzo akaomba twende wote, basi tukameet tuka have fun hivo.
Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa.
Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae kumuuliza why, anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.
Mimi nikamwambia kama you love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine, akasema hana kingine zaidi ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasababu hiyo.
I pity the guy coz yani ni kapole, kahandsome tu sema ndo hivyo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.
Basi the guy huwa ananiuliza kama my cuzo truly loves him, kama pia humuongelea nikiwa nae basi mmi naishia kumpa moyo tu.
Nauliza jamani is this right?
Wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?
Wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii?