Jamani wanawake tuna matatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wanawake tuna matatizo gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Jun 11, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Utakuta mtu amesoma, ana kazi nzuri na hela ya kutosha, mume pia anaye, tena mwenye hela zake nyingi, lakini mdada anaenda kutembea na hausboi, au dereva aliye mwajiri mwenyewe.
  Aibu na kudharauliwa wakati mwingine twajitakia wenyewe
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  hizo dawa mnazopaka kichwani na mikorogo mnayopaka inasababisha mbunye zenu ziwe zinawasha na mna hitaji kukunwa kila wakati, ndio maana hamridhiki na bwana mmoja
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Siri ya mtungi anaiujua kata

  kiatu usichokivaa,hukijui maumivu yake
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  tatizo binadamu halidhiki hata umfanyie nini hatosheki
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  mapenzi hayana formula mkuu...na sio haki kuwalaumu kina dada peke yao.
  mbona wapo wanaume wanaacha wake zao na kuoa house girls?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mtu kuoa au kuolewa haimaanishi ndie ametulizwa kiu

  kutotulia maana yake anatafuta wa kumtuliza

  akimpata atatulia........
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Matatizo yenu ni either HAMJATULIA.... HAMJARIDHIKA....TAMAA ZINAWASUMBUA..na kuendelea!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,045
  Likes Received: 24,034
  Trophy Points: 280
  Nazjaz mpenzi...hujambo mama?

  Ni hivi: Penzi ni zaidi ya Elimu na Kipato...........!

  Au unataka kutuambia kosa hapo ni kumegwa na house boy au driver? Kwa hiyo akimegwa na mbunge ruksa kwakuwa amesoma na ana kipato?
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Lazima kama binadamu uburudishe kitu roho inapenda
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  tatizo lenu ni tamaa na kuendekeza ndulele(ushirikina) ndo sababu yanawapata haya
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Wengine utakuta zamani walipokuwa na X wao kabla ya ndoa walikuwa wanakunwa vizuri,sasa kama husband wake hafikii hata robo ya aliyekuwa naye zamani ataridhika vipi!lazima atafute wa kumkuna ipasavyo.
   
 12. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  watu wachafu wachafu kama makonda, wauza vitumbua, mama lishe ma hausgel, na mahausboi wanakuwaga watamu sana
   
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  I can not believe this is from a woman!! Are you married? Are you financial stable? More importantly, ARE YOU SATISFIED SEXUAL?
  According to my simple understanding, women who did it, are not satisfied sexually!
  For that matter, our reactions also difer, some would communicate with their spouse and work out a solution, some of them would keep quite, wakifa ndani nadani, the rest.... watatoka nje ya ndoa na wanaume watakaoweza kuwa satisfy...Period!
   
 14. g

  geophysics JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yote maisha lakini..mapenzi ni kitu kibaya sana wengi wetu hatujui
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Unajua kwa nini wanakuwa watamu sana? Hawana stress za maisha kama wewe unayekaa ofisini kwenye ma conference, wao wazingira yao ni ya kingo ngono tu muda wote, wanajifunza na kujadilli hayo mambo kila wakati Na ndio wanunuzi wa magazeti ya Udaku! Wakipata nafasi,,,,, wanafidia kile wanachokosa kwingine...
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  okada gender yako tafadhali ni ipi?
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  lady, woman, girl, hawa...

  umenipata?
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani hili tatizo halichagui jinsia au kabila...., ni tabia tu za watu, hata kama wakisoma, wasisome au wakiwa na kipato kidogo au kikubwa. Pia kumbuka kuna needs tofauti tofauti..., and financial needs ni tofauti kabisa na sexual needs na status needs...

  Kumbuka "Clothers Dont Make A Pirate" na kisomo au utajiri wa mtu is like "Putting Lipstick on a Pig" haibadilishi character ya yake.
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mbona huwasemi wanaume wenye wake wazuri, wanaotembea na Housegirls wao? Sifagilii infidelity iwe imefanywa na mwanaume au mwanamke! Kinachonikera kosa akifanya mwanamke linakuwa so magnified! Na hasa inanikera zaidi ni pale wanawake tunavyokuwa wa kwanza kushutumu wanawake wengine bila kuvaa viatu vyao!What r u trying to tell male folks; that u r a perfect wife material? Go ahead, maybe it will take u somewhere!
   
 20. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  unaongea kizungu, nani kakwambia kuwa nazjaz anajua ki inglishi?
   
Loading...