BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,323
Nimekaa kutafakari kuona hali ya mahusiano ilivyo kwa sasa. Na pia napigwa na butwaa zaidi nikisoma baadhi ya thread kwenye jukwaa la Love connect.
Inashangaza sana kua mtu either mwanaume ama mwanamke unapata mtu ambae ana mapenzi ya kweli na wewe, lakini unaishia kumtupa kwenye dampo la takataka. Kwa alichonacho either kikubwa ama kidogo yuko tayari kujenga familia na wewe, ana upendo wa kweli kwako, anatambua majukumu yake kwako kwa uwezo wake mdogo ama mkubwa anajitahidi kuyakamilisha, anakuheshimu anakujali, ana malengo ya mbali, ana ushauri mzuri kwako,
"baby ile biashara imetoa faida mwezi huu laki 5 tunazifanyia nini...ah baby tukaweke kwenye ujenzi wetu wa nyumba itaongezea kununua bati ama matofali" huu ni mfano tu wa watu wanaopendana na wanaoishi kwa malengo na kushirikiana kwa kila hali.
Lakini cha kustaajabisha hao hao wenye true love wanaotupwa kwenye dampo la takataka ndio hao hao wanatafutwa na wengine, sometimes nasoma love connect naona kabisa unakuta mtu ana kila kitu lakini kuna kitu kinakosekana katika maisha yake, yuko radhi ampate mtu mwenye mapenzi ya kweli hata kama ni masikini wa kutupwa mengine yatajiweka sawa.
Wakitafutwa huku kwingine wanatupwa kwenye dampo la taka kwa ambao hawajui thamani zao.
Ama kweli huwezi jua thamani ya ulichonacho hadi utakapokipoteza.
Muwe na siku njema.
Isn't any woman's dreams to be like this picture?