shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,529
Sijui ni hali ngumu ya maisha au tamaa ya kuolewa kuna binti nimewasiliana naye kama miezi miwili ni mzuri ila hana elimu sana kaishia form four sasa ananibembeleza nimuoe nimemwambia sijajiandaa asubiri kanipa mbinu iliyoniacha mdomo wazi.
Kasema niwaambie kwao namtaka kama house girl akanisaidie kazi za ndani nyumbani kwao watakubali, then mengine tutajua wenyewe mbele ya safari imebidi nimkubalie tu kuwa nitaenda japo najua sitaenda.
Jamani tuliopo kwenye mahusiano tuwastiri hawa dada zetu wana hamu kubwa ya kuolewa hata kama hawakwambii. Hata usaliti unaofanywa na wanawake nimegundua ni katika kuhangaika mtu wa kumuoa hivyo inabidi wawe na selection nyingi kidogo atayewahi huyohuyo.