Mwanaume asiyejiamini anaboa sio siri.....kama wewe ungekuwa mume wangu ningeomba talaka
acha ujinga wewe ... basia akirudi mkumbatie mpe na pole halafu mwambie na kesho achelewe tena atakuta umepika..we nishauri bana acha kuninanga bana we si unajua tena wakati mwingine tunakuwa tunawaza kidogo impact ili amani iwepo
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?
sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
ha ha ha ha asanteDuu....we mwanamke ni kungwi la makungwi....
yani una vitu vidogo vidogo ila vyenye ukweli mtupu
mmeo atakufaidi sana.
na kumtandika vibao kila kukicha.
we nishauri bana acha kuninanga bana we si unajua tena wakati mwingine tunakuwa tunawaza kidogo impact ili amani iwepo
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?
sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
ha ha haha hapo ndiyo unalianzisha sasa ukiwa na evidence kamili ,.... si kumdaka juu kwa juu tena getini tu anaingia atakuficha mengine[/COLOR][/B]
Wee miss chaga acha kufundisha wake za watu huu ujanja, ni hatareee. Yaani ukiona dushe halisimami vizuri ndo hapo kwenye red.
badilisha kichwa cha habari andika Ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi mda huu unaanzaje?
sasa ukitaka kumuuliza mumeo ametoka wapi akifika nyumbani muandalie maji ya kuoga, andaa chakula mle , akiwa anaangalia tv we mwache kwanza ,, muda mzuri wa kumuuliza ni pale anapoingia kitandani mlalie kifuani huku ukihezea dushe lake kwa mahaba and then muulize mume wangu mbona leo umechelewa ... hapo utapata majibu
asante mkuuHapa tu ndipo ninapokupendea miss chagga, hapa upo katika ubora wako, kula like za kutosha