adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,032
- 15,721
Wazee usiombe likukute lililonikuta!
Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out! Tukatafuta sehemu tulivu yenye upepo mwanana tukatulia stori za hapa na pale, ajabu mtoto hanywi pombe ikawa faida kwangu nikabaki na chenji nyingi tu.
Muda muafaka baada ya kumbembeleza sana akakubali twende home, mtoto akajipekeka machinjioni mwenyewe. Gemu ya kwanza imeisha mtoto akaenda washroom ghafla nikasikia bonge la mzinga kama gari imepinduka.
Nikakurupuka uchi nasukuma mlango naona mtoto yuko chini anarukaruka kama anakata roho na mapovu kibao mdomoni, nilichanganyikiwa kila kitu nagusa naacha akili imeruka, huyu mtoto kapatwa nini hapa ananifia, nataka nitoke mbio nimuachie chumba nashindwa ikabidi niubane mlango wa chooni akishamalizia ndo nijue sasa nifanyeje.
Kimya kukapita nikajua tayari roho imeenda kwa muumba cha ajabu naona mlango unafunguka mtoto anatoka kidogo nifunguke mbio nikakaza roho! nikamuuliza ulipatwa nini hata yeye hajui.
Nikamwambia vaa haraka sana ulikuwa usiku mzito sana nikamrudisha kwao, baadae ndo nikapata stori ana tatizo la kifafa daah! Sitasahau
sasa hivi kila msichana kabla ya yote swali la kwanza lazima nimuulize ulishawahi kuanguka wewe! Akijibu ndio niliteleza kwenye tiles najua huyu mzima.